Origin: Unknown
Use: Hao ya akina Mato ni ya vungu = Matin's crib is nice
Period: Mid 90's
Synonyms: Noma
Pronounciation: (Noun) [ Vu-ngu ]
Relate: Ndae Cladi Njumu Keroma Mdem Mjama Hao
History: Derived from the swahili word NGUVU meaning POWER,STRONG,WEIGHT
Clarification: Not to confused with the sheng word VONGO meaning FIVE,
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”