Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
Buda ako ni mjinga, first time kupanda ndege alisema shukisha junction
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako