Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
First time yako ku-buy ball gum shopkeeper alikugei ya green ukasema 'nataka ile imeiva'