Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Budako amechizi, underwear yake imechorwa Saitoti akiosha viombo
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga