Origin: Unknown
Use: Karao lazima abebe thwau akiwa wera = Police has to carry a gun once he/she is at work
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Thwah-uh ]
No replies yet. Start the conversation.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
msee ni mweusi hadi difference yake na midnight ni 11:59.
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.