Origin: Uknown
Use: Onyi alipatikana na bunde mtaani = Onyango was found with a gun at his home
Period: Early 60's
Synonyms: Mchuma, Mtoo, Thwau, Mguu ya kuku, Kidungi,
Pronounciation: (Noun) [ buh-ndeeh ]
Variations: Bundee
History: Borrowed from a Luo word "Bunde" which means "Gun"
No replies yet. Start the conversation.
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani