Origin: Unknown
Use: Inafaa nifike tao ku kwachu doo zangu = I have to go to town to take my money
Period: Unknown
Synonyms: Bamba mukuchu Gwara winch
Pronounciation: (Verb) [ kwa-chu-doh ]
No replies yet. Start the conversation.
ASUBUHI ASUBUHI githeri na colgate.
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi