Origin: Unknown
Use: Unadhani ata ukiwa na mwili bwaku utanifanya mimi kuingia maji = You think even if you have such a big body you will make me scared
Period: Unknown
Synonyms: Kuingia mawoiye Kuingia baridi Kuhaha Kugwaya
Pronounciation: (Verb) [ koh-eeh-n-gee-ah-maji ]
No replies yet. Start the conversation.
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu