Origin: -
Use: Hatukua na mawoiye mtaani hii ndiwike = We didn't have water at home this weekend
Period: Late 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ma-wo-ee-ye ]
Relate: Ngiyai Tiabe Tibe Icha
No replies yet. Start the conversation.
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon