Origin: Unknown
Use: Mimi nina kugwaya = I am afraid of you
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-gwa-yah ]
Relate: Kushtuka Kuingiza njeve Kuingiza baridi Kuingia waba Kuingia mawoiye
No replies yet. Start the conversation.
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
nasikia we niweusi hadi una aribia makka fashion
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness