Origin: Unknown
Use: We kamu tu utanipata kejani = You just come you will find me in the house
Period: Mid 90's
Synonyms: Dawi Dangulo Mbanyu Jakes
Pronounciation: (Verb) [ keh-jah-nee ]
Relate: Sito Kicho Kiche Mngola Windo Ignition
No replies yet. Start the conversation.
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani