Origin: Unknown
Use: Mgola yetu sio ya blue ni ya black wewe angalia tu juu = Just look up our door is not the blue is the black one
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Mngoh-lah ]
No replies yet. Start the conversation.
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu