Origin: Uknown
Use: Sejo ako na dem mtaani = Joseph has his girlfriend over today
Period: Early 80's
Synonyms: Manzi, Mude, Demu, Mamaa, Supu, Mroro, Mresh, Msupa, Mbuus,
Pronounciation: (Noun) [ deh-mm ]
History: Derived from the colloquial English word, Dame
No replies yet. Start the conversation.
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka
Kichwa kama basi ya bed ford ya zamani
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent