Origin: Unknown
Use: 1. Huyo manzi ni dwanzi! = That girl is stupid! 2. Hata si mso... ni ka manzi tu kiasi = She's not that old! she's just a young woman 3. Manzi wangu ame traa = My girlfriend has left me!
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ man-zee ]
Relate: Boy Mse Boifie Mapens Funga Chipo Sausage fund Chips funga Beba
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
aty shosho yako ni mzee hadi wameandika kwa matiti no milk yes yoghurt