Origin: -
Use: Mresh wa mi ame ishia tao = My girlfriend has gone to town.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ mre-sh ]
History: - From Swahili word "Mrembo" which means beautiful.
No replies yet. Start the conversation.
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
wewe ni msupa tu sana
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion