Origin: Unknown
Use: Zii! Hatuendi na wewe = No! We are not going with you
Period: Early 90's
Pronounciation: (Noun) [ Zi ]
Variations: -,
History: Derived from the English word ZERO
No replies yet. Start the conversation.
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza