Origin: Unknown
Use: 1. Uskii mi na chorea Linda = I'm planning to hit on Linda 2. Ma boi wana chorea Simo.... = The guys are planning to beat up Simon
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ cho-re-a ]
Relate: Mendea Manga Twanga Bonda Seti Dhanya Thanya
Variations: -,
History: From Swahili "Chora" which means to draw
No replies yet. Start the conversation.
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
First time yako ku-buy ball gum shopkeeper alikugei ya green ukasema 'nataka ile imeiva'
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.