Origin: Unknown
Use: Wale mabeste wawili walitafashiana = Those two friends mis understood
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ta-fa-she-ana ]
Relate: Mezesheana Katisiana Katsiana
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent