Origin: Unknown
Use: Wale madem wawili wali mezesheana = Those two ladies they mis understood
Period: Mid 90's
Synonyms: Katsiana Katisiana Tafashiana
Pronounciation: (Verb) [ Me-ze-she-anah ]
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu