Origin: Unknown
Use: Wale mabingi wanajiskizia mbagaa = Those rasta men are smoking weed
Period: Mid 90's
Synonyms: Madready Wanati Wanaty Warasta
Pronounciation: (Noun) [ Ma-bee-ngee ]
Relate: Mbalas
History: Derived from the jamaican word
No replies yet. Start the conversation.
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk