Origin: Uthiru
Use: Ule mresh anaringa na mbalas = That girl is feeling sweet yet she has a weave
Period: 2010 - 2013
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ M-Ba-las ]
Relate: Dready Box Punk Push back Jordan Uparo
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool