Origin: Unknown
Use: Pale kwa ile shop ni baze ya wanaty = At that shop is the place where dreadlocks people hang out
Period: Unknown
Synonyms: Wanati
Pronounciation: (Noun) [ wah-nah-tee ]
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
msee ni mweusi hadi difference yake na midnight ni 11:59.
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.