Origin: Unknown
Use: Nimesha anza kuingia baridi = I have started getting scared
Period: Unknown
Synonyms: Kuingia njeve Kuingia maji Kuingia mawoiye Kuhaha
Pronounciation: (Verb) [ kuh-eeh-gee-ah-ba-ree-dee ]
Relate: Kuteveva
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga