Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Asubuhi asubuhi goodygoody na makojo ya ngamia
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent