Origin: Unknown
Use: Ikifika magizani itabaki ni kuchora = When it reaches at night i will just have to go.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Kuu-choo-rah ]
Variations: -,
History: Derived from swahili word 'KUCHORA' wich means to draw.
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport