Origin: Majei (Kije)
Use: mi nataka kujitoa - i want to leave/go/run away
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ coo-g-to-aa ]
Relate: jichaka squaleh chump kacha ishia
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
ww n mkonde adi unavaanva socks n belt
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster