Origin: Unknown
Use: Buda ame boti dinga nyingine inaonekana ame dosika = Dad has bought another car it seems he has gotten rich
Period: Unknown
Synonyms: Omoka, kafunga, Osa, Kudosika
Pronounciation: (Verb) [ koh-doh-see-kah ]
Relate: Donga, Dongera, Udosi, Mdosi, Sonko, Source, Sos
History: Derived from English slang "dough"
No replies yet. Start the conversation.
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza