Origin: Unknown
Use: Wathii watatu walishikwa na bundee= Three people were caught with guns.
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Buuh-ndeeh ]
Relate: Mtoo Mguu ya kuku Mchuma
Variations: Bunde,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
Budako huhepa job ku-slide na socks
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”