Vitu unatafuta kwa hii maisha, zisifanye usahau vitu uko nazo.
Origin: ~Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Mamorio wa uduu tunawatema, tunawasaniff,tunawachagua mmoja mmoja kama njugu, tunawarelease without an option to buy.
Origin: ~Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Kama hunijui sahii, usingoje mambo ifunguke useme unanijua. Hata mimi hiyo saa, sikujui na sikutambui.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Ati tables will turn? Ni wewe ubebane na kiti yako utafute meza ingine.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Vitu za bure hazikujangi na heshima, learn to hustle. Hata kivuli yako itakuacha kwa giza.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Unaweka shida zako kwa status kwani Mungu akona smartphone? Piga magoti omba Mungu.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Usikate tamaa. As long as the dice is still rolling, your six will come.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Ndugu yako akikufunza kuvua samaka, hapan vua mahali yeye anavua. na hatuongelelei samaki. Tafakari ya bubu.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..Ukitaka kujua nikona nguvu, jaribu kuniskumia mlango ya choo.
Origin: Wallalo_siku_zote06
Reference:
Likes: 0
More..