Asubuhi asubuhi harufu ya gumboot na BIG G
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Unamdomo bigi we hukula avocado kama njugu
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”