Riengs

Kiuno si ukubwa, kiuno ni kitu imefungwa hapo.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Ukiniomba pesa nikuambie sina, wacha makasiriko. Pia wewe huna. Check on that. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Sura mbaya, roho safi.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Yout fi yout. Kijana asaidie kijana mwenzake.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Usione ndugu yako akiinuka ukaze tanye, utajidenkia.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Usikazie tanye mtu anapendwa na Mungu, utapasuka msamba.

Origin:

Reference:

Likes: 1

More..

Rafiki wa toka nikutoke.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Bestie bastola.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Maskini mabatini, usingizi ni ya ulaya.

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Wa kudumu atadumu. ~VJ Patelo

Origin: Eastlando

Reference:

Likes: 0

More..