Origin: Uknown
Use: Hao wadhi wanazusha juu ya keroma. = The people are complaining about food.
Period: Mid 90's
Synonyms: Teta, zua noma, leta genje, zua ngori
Pronounciation: (Verb) [ Zoo-sha ]
Relate: Blanda
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.