Origin: Unknown
Use: usiwekelee kwa hii meza winch winch - dont place it in this weak table
Period: Late 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ weee-nn-ch weee-nn-ch ]
Relate: winch
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Asubuhi asubuhi harufu ya gumboot na BIG G
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy