Origin: Unknown
Use: Yani ume ni chukua todhi aje una try ku ni vako? = What kind of a fool do you take me for that you are trying to lie to me? Uma vako kiasi, nakam. = Please wait here a bit. I'm coming.
Period: Late 80's
Synonyms: Chare Kata Para njaro
Pronounciation: (Verb) [ va-ko ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.
Asubuhi asubuhi goodygoody na makojo ya ngamia
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
Asubuhi Asubuhi kokoto na kumi kumi