Origin: Easich
Use: Amesunda ukapi kwa mbosho= He has put a knife in his pocket
Period: Early 90's
Synonyms: Daga
Pronounciation: (Noun) [ Ooh-kah-pee ]
Relate: Megi Bof Dibre Mbese Dishi
No replies yet. Start the conversation.
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Ngozi ya nyanyako ni tight mpaka aki wink, mguu yake inainuka