Origin: Uknown
Use: Cheki kama madha amepika dishi. = Check if mum has cooked food.
Period: Early 90's
Synonyms: Mdishi, Manga, keroma, Msosi
Pronounciation: (Noun) [ Dii-shii ]
Relate: Food
History: From English "Dish".
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao