Origin: -
Use: Naenda Weo kutoa lock = I'm off to Nairobi West to get rid of my hangover
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ To-a lok ]
No replies yet. Start the conversation.
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
We ni mwizi mpaka padlock ikikuona inajifunga
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy