Origin: jeri
Use: Wagondi walopo tokea walipata misimi nisha songana = When the thugs arrived i had already left
Period: Late 2000
Synonyms: Nganaso Kuishia Kujikata
Pronounciation: (Verb) [ So-nga-na ]
Relate: Mbetea Kalesa Kaledha Unyoya Mbuga
History: Originated from the swahili word wich means
No replies yet. Start the conversation.
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Balls zako bigi sana mpaka ukipiga shower unaziweka kwa rack zikauke