Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!