Khadi Adi
@user1213
·
wag
Origin: Unknown
Use: Mimi hubambika na madem hudunga maskenje = I love women who wear miniskirts
Period: Unknown
Synonyms: Mini
Pronounciation: (Noun) [ skeh-n-jeeh ]
History: Derived from the English word ''miniskirt''
wag
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport