naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.