Origin: Unknown
Use: Nguati hiyo mgola ya hiyo wariga = Open the door of the car
Period: Late 90's
Pronounciation: (Verb) [ Ngo-aah-tee ]
History: Reversed from the sheng word meaning
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Wewe ni mweusi tu sana mpaka ukitupiwa mawe zinarudi zikisema hazijakucheki.
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma