Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet