Origin: Unknown
Use: 1.Ukitoka kwa keja tinga mgola ya hao na ignition = When you get out of the house close the door with the keys.
Period: Unknown
Synonyms: Tinga
Pronounciation: (Verb) [ Ngah-tee ]
Relate: 1.Mngola Diro 2. Dude Bao Uwanjo Mechi
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama