Origin: Unknown
Use: Naenda uwanjo kugusa adida = I am going to the field to play soccer
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ uuh-wah-njo ]
History: Derived from the Swahili word UWANJA
No replies yet. Start the conversation.
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Una mkono rough hadi ukishika mouse, computer inadai found new hardware.
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools