Origin: Okongo
Use: Wagondi walipo cheki masanse ilibaki wame ng'aada = When the thugs saw the cops they had to speed
Period: Early 90's
Pronounciation: (Verb) [ Ng'a-ada ]
Relate: Safo
Variations: -,
History: Derived from the Luo community
No replies yet. Start the conversation.
We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani