Origin: CBD
Use: Hii tenje yangu naona niki indaki. = I see myself selling this phone.
Period: Early 2000
Synonyms: Kinda, Shikanisha
Pronounciation: (Verb) [ Nda-kee ]
History: Reversed from a sheng word 'KINDA' which means to sell.
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda