Search
Origin: -
Use: 1. Wana kinda chibo punch = They're selling chips at 5 bob 2. Shady na Jose wali tu kinda = Shady and Jose sold us out
Period: Unknown,
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ki-nda ]
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo