Origin: Unknown
Use: Leo nikona mchongoch moto moto naenda kuchongoa Deno = Today I have hot roasts for Dennis
Period: Late 60's
Synonyms: Mchongo Mchongoano
Pronounciation: (Verb) [ mcho-ngo-ch ]
Relate: Human interactions
No replies yet. Start the conversation.
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
nyumba yenu imetengenezwa na matope.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Asubuhi Asubuhi avocado na arufu ya vitungu