Origin: Unknown
Use: Leo niko na mchongo moto moto naenda kuchongoa Deno = Today i have hot roasts for Dennis
Period: Late 60's
Synonyms: Mchongoano
Pronounciation: (Verb) [ mcho-ngo ]
No replies yet. Start the conversation.
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness
nasikia we niweusi hadi una aribia makka fashion
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME